Connect with us

AUDIOS

Neema Gospel Choir – Unaweza Live (Mp3 Download)

Published

on

gt-booster

Neema Gospel Choir - Unaweza LiveNeema Gospel Choir comes with a appreciation song titled “Unaweza Live” , “Hakuna Mungu kama Wewe, Alfa na Omega, Ufalme Wako wathibitika milele! nia hakika wewe UNAWEZA ” 🎶 nHuu ni wimbo wa sifa na utukufu kwa Mungu wetu mkuu! 🙌🔥 Tukimtukuza kwa matendo yake makuu, uweza wake usiopimika, na neema yake isiyo na kikomo. Hakuna mwingine anayelingana na Yeye! , I declare that you are able lord.

 Download   

 

 

Neema Gospel Choir – Unaweza Live Lyrics

Lyrics

Unaweza – Neema Gospel Choir

…

eeeeeh

mwokozi wetu Yesu Bwana wa mabwana

Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana

Unaweza,

nani kama wewe Bwana wa mabwana?

shout to Jesus.

Mwokozi wetu yesu bwana

mwokozi wetu Yesu Bwana wa mabwana

Unaweza,

nani kama wewe Bwana wa mabwana?

Hallelujah are you ready to dance for the LORD

Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana

Unaweza,

nani kama wewe Bwana wa mabwana? ×3

Tunalisifu Jina lako

Tunatukuza jina lako

Wewe ni mfalme wa wafalme ×2

Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana

Unaweza,

nani kama wewe Bwana wa mabwana? ×3

Ee Bwana, Mungu wa majeshi

Ee Bwana, utuangazie

Nuru za uso wako

Ee Bwana, ee Bwana

Nasi tutaokoka

Milele milele ×2

Ee Bwana, Mungu wa majeshi

Ee Bwana, utuangazie

Nuru za uso wako

Ee Bwana, ee Bwana

Nasi tutaokoka

Milele milele ×2

Hata watu wabadilike

Wewe kamwe hubadiliki

Si kama mtu udanganye

Kweli yako ni ya milele ×2

Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana

Unaweza,

nani kama wewe Bwana wa mabwana? ×2

Bwana mkono wako

hutenda makuu

Umetupa wokovu

Nani kama wewe,

Bwana wa mabwana?

Bwana, mkono wako

hutenda makuu

Umetupa wokovu

Nani kama wewe,

Bwana wa mabwana?

Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana

Unaweza,

nani kama wewe Bwana wa mabwana?

WATCH VIDEO ;

gt-boosterSherohost.com

As one of the leading Evangelistic Gospel hub in Africa, we strive to give you the best at all time, We regularly post current Gospel music industry information,News, music, videos, interviews and events. Our God given vision is to bring men close to God Almighty through music and supporting, The Gospel music industry, Gospel artistes and ministries. Contact us: Call line +2348032564751, WhatsApp +2348032564751. Info@gospellover.com

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SPONDORED AD

ADVERTISEMENT

Advertisement gt-booster