Connect with us

AUDIOS

Vestine & Dorcas – Emmanuel (Mp3 Download)

Published

on

gt-booster

Vestine & Dorcas - Emmanuel Vestine & Dorcas releases a heartfelt and inspirational song titled “Emmanuel” ,

Kwa upande wako nitasimama himara Hata marafiki wanitenge ,kila mahali nizatungukwa na neema nitazidiwa na nyimbo za sifa Nimeona waliopondwa wamerejeshwa tena waliocoka hupata nguvu mpya

Presenting “EMMANUEL” the official video by Vestine & Dorcas.

 Download   

 

 

 

Vestine & Dorcas – Emmanuel

Kwa upande wako nitasimama himara

Hata marafiki wanitenge ,

 

kila mahali nizatungukwa na neema

 

nitazidiwa na nyimbo za sifa Nimeona

waliopondwa wamerejeshwa tena waliocoka

hupata nguvu mpya Roho tasa ziriokorewa kwa

pumzi wako takatifu Kwa kila ajabu uliofanya,

 

niliona sababu za kukuabudu. kwenye kila chozi

kuna ishara ya uku wako Ukiishi nami Yesu Nimuogope

 

nani Yesu Askari wangu Hodari x2

Bila masharti

ulinichaguwa ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel

siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina x2

 

Vestine & Dorcas – Emmanuel

 

Kwa Juu yangu ooooooh Niligonga mlango Ooooooh ukanifunguliya Ooooh

I will Glorify you .

I ‘go lift you high kwa uhuru nimepata

 

Verse 2:

umekaa nami katika zhoruba kupitia

mwoto tumekuwa pamoja myoyo yetu

ilijaliwa na Woga. huruma yako ikanikomboa

 

upendo wako ni ngao yangu Golliati hatanizowea

Ushindi wako ni fahari yangu

Fimbo yako inaniongoza Mwana kondo mwenye miujiza

 

 

Ushindi wako ni fahari yangu kwa kila ajabu uliofanya.

Niliona sababu za kukuabudu.

kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako

 

Ukiishi nami

Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari x2

Vestine & Dorcas – Emmanuel

Bila masharti ulinichaguwa

Ulinipenda jinsi nilivyokuwa

Emmanuel Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina

Kwa juu yangu ooooooh

 

Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh

I will Glorify you I ‘go lift you high kwa uhuru nimepata

 

Kwa pleasure na

 

Sorrow through every hollow

I will always walk in steps you called me to follow

 

katika kila tatizo iwe kubwa ao dogo nitaweka

Imani yangu yote kwako kwa kila ajabu uliofanya.

 

Niliona sababu za kukuabudu.

kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako Ukiishi nami

Vestine & Dorcas – Emmanuel

Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari

x2 Bila masharti ulinichaguwa

Ulinipenda jinsi nilivyokuwa

 

 

Emmanuel Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina

Kwa juu yangu ooooooh Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh

 

I will Glorify you

I ‘go lift you high

 

kwa uhuru nimepata kwa kila ajabu uliofanya.

Niliona sababu za kukuabudu.

kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako Ukiishi nami

 

Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari Bila masharti ulinichaguwa

Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel Siwizije

kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina Kwa juu yangu ooooooh

 

Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh

 

I will Glorify you

I ‘go lift you high

 

kwa uhuru Nimepata MIE Music “ Jesus Is Our Shepherd “

 

WATCH VIDEO 

stream

gt-boosterSherohost.com

As one of the leading Evangelistic Gospel hub in Africa, we strive to give you the best at all time, We regularly post current Gospel music industry information,News, music, videos, interviews and events. Our God given vision is to bring men close to God Almighty through music and supporting, The Gospel music industry, Gospel artistes and ministries. Contact us: Call line +2348032564751, WhatsApp +2348032564751. Info@gospellover.com

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SPONDORED AD

ADVERTISEMENT

Advertisement gt-booster