Connect with us

AUDIOS

Neema Gospel Choir – Nikurejeshee (Live) Mp3

Published

on

gt-booster

Neema Gospel Choir – Nikurejeshee‭Yer‬emia 30:17‬
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA …
‭‭Yoe‬li ‭2:25‬ ‭
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu ,

Urejesho ni mchakato wa kurudisha kitu kilichoharibika au kupotea. Biblia inatuhimiza kumgeukia Mungu. Na kupitia imani na maombi, tutapata uponyaji, kurejeshewa nguvu, na kupewa maisha mapya katika Kristo Yesu.

 Download    

Video

Neema Gospel Choir – Nikurejeshee

Mnamo mwaka 2022,

Familia ya Ev. Mchome,

ilipitia kipindi kigumu sana

baada ya kumpoteza mama yao mpendwa (Aliyeanguka ghafla na kufariki).

Majonzi na simanzi kubwa

ilitanda mioyoni mwao mithili ya wingu zito na giza totoro,

hakuna maneno mazuri ambayo yangetosha kuwapa faraja familia hii.

gt-boosterSherohost.com

As one of the leading Evangelistic Gospel hub in Africa, we strive to give you the best at all time, We regularly post current Gospel music industry information,News, music, videos, interviews and events. Our God given vision is to bring men close to God Almighty through music and supporting, The Gospel music industry, Gospel artistes and ministries. Contact us: Call line +2348032564751, WhatsApp +2348032564751. Info@gospellover.com

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SPONDORED AD

ADVERTISEMENT

Advertisement gt-booster